Posts

AINA 10 ZA WANAWAKE AMBAO WANAUME WENGI WANAVUTIWA KUWA NAO KIMAPENZI

Image
1. The childish woman There are some men that like childish women. They may appreciate the fact that this type of women is cheerful, playful and represents sunshine in their dull or stressful life. However, try not to exaggerate. Sometimes they need you to act responsible and wise. 2. The mysterious lady I think all men like a bit of mystery in a woman. They don’t mind the large doses of mystery either! All men try to get behind “the mask” of a woman, to discover her secrets. Thus, you should always keep a bit of mystery in your life, to spice up your relationship. 3. The s3x addict Tell me a man who would not be interested in such a woman…It’s their basic instincts working. This doesn’t guarantee, however, that he will marry such a woman, or that he would like a serious relationship with her! Do try to act like one from time to time, and only when you are alone, this will certainly “inspire” him… 4. The Vi.rginal Many men feel attracted to the purity of a woman. Especially th...

WANAUME WASIO NA KIPATO NI WAZURI KITANDANI, ZIPO SABABU NNE

Image
Wanasayansi wanasema. Pesa sio kila kitu, watu. Kamwe sitajidai kuwa najua mapenzi , au nina uzoefu mkubwa wa mapenzi duniani, lakini  ni kuongea na wanawake wengine tofauti tofauti  kuhusu wanaume  na tabia zao za  sex. Wengi wao hulazimisha: wanaume wasio na pesa  ni wazuri kitandani. Huniamini mimi? Hapa kuna sababu  nne tu  za wanasayansi zinazoaminisha hicho: 1.Wao hufanya kwa ajili ya kile walichokikosa. Theory yangu mwenyewe inasema kirahisi kwamba, ‘’broke’’men wako vizuri kitandani kwa sababu   wao hujisikia hitaji  kwa ajili ya kile walichokikosa kule- nilipomuuliza mtu ambaye ni bingwa wa mahusiano , alielezea, kama mwanaume ana kipato kidogo kuliko wanaume wengine   hufikiria kitu cha kuweza  kuuteka moyo wa mwanamke, hupenda kuonyesha  mwanamke kwamba ana ujuzi  mkubwa kitandani kuliko mwingine.lakini ningeita hio ni kufanyia kazi kwa ulichokipata, sio  juu ya fidia. Alisema pia,’’ wapo...

FAIDA ZA MWANAMKE KUKATIKA KITANDANI

Image
Ukamilifu wa mwanamke sio tu kujua aina za mapishi , kutoa penzi, kuwa mwepesi wakati wa kungonoana, mwenye kulipenda umbile lake zuri alilojaaliwa na Mungu, usafi na mwenye kuvutia   bali pia uwezo wa kujua kumuwahisha mpenzi hasa kama mpenzi wako ni mmoja kati ya wale waliojaaliwa kwenda “mwendo mrefu” au kazoea kujizua na hivyo anashindwa kujiachia ili awahi… . Au inawezekana kabisa bao la kwanza kutoka kwake mpenzi wako linakuja haraka (kawaida kwa wanaume wengi hasa kama anahamu  sana)lakini yatakayofuatia yanachukua “mwaka” hali inayoweza kukufanya utake kumuona mpenzi wako anakuja tena na tena…. Unaweza kujitahidi kumfanyia manjonjo na masham-sham ili ashindwe kujizuia na kumaliza mapema lakini njemba haifiki walanini …..  hii ikitokea usikate tamaa na kujishtukia kuwa huwezi “game” ….”game” unaiweza ila hujampatia tu……sasa nitakupa kambinu ambayo mwanaume yeyote hawezi kujizuia ikiwa utazipatia mbinu  hizi. Kumbuka unapofanya hii mbinu lengo ni...

KWENYE MAPENZI PESA NI MBWEMBWE TU

Image
Katika maisha ya kindoa na uhusiano wa kimapenzi, siku hizi kumekuwa na misemo mingi inayomaanisha kuwa fedha ni kitu cha msingi sana unapozungumzia kuhusu msichana kuishi kinyumba na mvulana. ‘Hapendwi mtu hapa pochi tu’, Mapenzi Bongo?, Acha maneno hata kwenye kanga yapo na mengine kadha wa kadha. Ni misemo ya watoto wa mjini inayoonyesha jinsi gani watu wanatanguliza fedha kwanza katika suala la maisha ya uhusiano wa kimapenzi au ndoa. Hii siyo mara yangu ya kwanza kuzungumzia suala hili. Nimesema mara nyingi kwamba ni kweli, katika maisha ya sasa, ni vigumu sana kutoihusisha fedha katika mapenzi, kwamba uwepo wake, unasaidia kwa kiwango kikubwa kuimarika kwa penzi lenyewe. Ukitembea na kuzungumza na vijana wengi wa sasa wanakuambia ukiwa na pesa ‘utang’oa’ demu wa aina yeyote, kwa sababu huwa hawana ujanja panapo mapesa. Na hili linadhihirishwa na wengi wanapobadili wanawake kwa sababu ya uwezo wao wa kifedha. Na hata wanawake wenyewe nao wanaonekana kuhamasika sana kukutana ...

KUKOJOA KWA MWANAMKE FAHAMU ZAIDI

Image
Kama ilivyo kwenye kufika kilele sio wanawake wote wamejaaliwa kufikia Mshindo hali kadhalika sio wanawake wote wanaofika kileleni na kumwaga kama bomba. Sasa kama unataka kujua kama na wewe unauwezo wa kukojoa kwa kusikia utamu wa ngono na kumwaga ka’ bomba mumeo atahitaji kufanya kazi ya ziada kufanikisha hilo. Kuhisi kutaka kukojoa-Sehemu kubwa ya wachangiaji wamefananisha au kulinganisha hisia za kutaka kufika kileleni na zile za kuhisi kutaka kukojoa. Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa lakini kama wewe ni mwanamke ambae hujawahi ufika kileleni na hujui hisia za utamu wa ngono ni wazi kuwa utadhani hisia hizo za kutaka kukojoa (mkojo wa kawaida yaani) ndio kufika kileleni kwenyewe lakini siooo. Baadhi ya wanwake huwa wanahisi hisia hizo za kutaka kukojoa mara tu uume unapoingia na hapo ndio huwa wanadhani kuwa huo ndio utamu wa Ngono unaopatikana kwa kusuguliwa kipele G, vilevile wapo ambao wanapata hisia hizo tendo likiendelea kwamuda mrefu na kudhania sasa wanafikia mshindo na...

MBINU ZA KUMVUTA MSICHANA MKONONI MWAKO

Image
MAPENZI ni sanaa ambayo kwa hakika haitaki hasira hata kidogo. Ubunifu, utulivu wa akili na utundu binafsi ni kati ya mambo muhimu sana ambayo ukizingatia utaweza kumfanya mwezi wako afurahie uhusiano wenu.   Hata hivyo, ukweli utaendelea kubaki palepale kuwa wanaume wengi hawapo makini sana kuangalia namna ya kumfurahisha mwanamke. Wengi akili zao huishia kuhusu namna ya kuhakikisha anaheshimika faragha, baasi! Hayo si mapenzi. Ni zaidi ya hivyo. Kwa bahati nzuri ni kwamba, mwanamke huvutiwa na mambo madogo kabisa ya kawaida ambayo mwanaume anaweza kuyadharau tu. Katika mada ya leo, nitazungumza na wavulana. Je, unajua mambo muhimu ambayo huwachizisha sana wasichana? Yapo mengi lakini hapa nimekutayarishia yale ya muhimu zaidi. USAFI BINAFSI Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda sana usafi. Ni aghalabu sana kukutana na mwanamke asiyejipenda. Ndiyo maana wanaitwa mapambo ya nyumba! Ni kwa sababu ya hulka yao ya kupenda sana usafi. Mwanamke anavutiwa sana na mwanaum...

UNAPOANZA NA KUFANYA HIKI KATIKA MAPENZI NI MAKOSA

Image
KUNA watu wanaanzisha mapenzi, kabla ya yote tayari wanazungumza kwamba katika uhusiano wetu tutakuwa hivi na vile, lakini kuna mwingine unamwambia tu unampenda, dakika tano zijazo tayari mnakwenda kukutana faragha. Wapo watu hawajihurumii kufanya mambo kama haya pasipo kujiuliza huyu ninaye ili awe nani. Kuna wengine ngono wanaona kama kwenda haja ndogo na kurudi, si suala linalohitaji staha au mazungumzo ya kina kuhusu hatma yenu. Je wewe ukoje? Ni vizuri kujiheshimu. Usijirahisi, onyesha msimamo. Usiwe mwepesi kuugawa utu wako ili umfurahishe huyo uliyenaye. Wengine wanatoka kwao wakijua kwamba wana wapenzi, lakini wakifika sehemu za kazi, wanajirahisi, huyu akimtaka anakubali, hana msimamo, haya si maisha. Kama huyu mfanyakazi mwenzako, bosi wako anakutaka, je,   kawataka wangapi? Hili ni jambo la kujiuliza. Wengi kati ya watu wa aina hii huachwa kwa visa. Ni kwa sababu wanaonekana ni watu wasio na misimamo kwa hiyo humthamini. Mnaweza kuachana kwenye nyumba ya wag...