Posts

Showing posts with the label Penzi kitandani

UJUMBE WA MAPENZI JIONI YA LEO KWA UMPENDAE..,

Image
Mwambie mpenzi wako maneno haya jioni ya leo kuionyesha thamani yake kwako, pia furaha unayoipata kuwa naye kwenye mapenzi Nikipoteza kitu cha thamani nitauzunika nitasahau ila….., ila nkikupoteza ww mpenzi wangu sitopata furaha maisha yangu yote…., ki-ukweli nakupenda naomba mungu penzi letu liendelee kukua na kuwa na mafanikio kila kukicha.