Posts

Chagua Kufanya Mambo Haya, Ili Yakupe Mafanikio Makubwa

Image
Siku zote maisha ya binadamu  yanaongozwa na uchaguzi tunaoufanya kila siku. Uchaguzi huo ndio unatufanya tuwe na maisha haya au yale. Kama uchaguzi unaoufanya ni mbovu kila siku, basi ni wazi na maisha yatakuwa mabovu vilevile. Na kama uchaguzi wako ni mzuri, halikadharika na maisha yako yatakuwa mazuri vivyo hivyo. Kitu cha kuwa makini nacho hapa, angalia uchaguzi unaoufanya kila siku na kila wakati. Uchaguzi huo ndio unaoamua maisha yako ya kesho yaweje. Kama ni hivyo, ni lazima kwetu kufanya uchaguzi utakaotupa maisha bora. Jaribu kujiuliza, ni uchaguzi wa mambo gani unaotakiwa kuufanya ili kukupa mafanikio makubwa? 1. Chagua kutumia fursa vizuri. Kwa fursa yoyote inayojitokeza mbele yako, jifunze kuitumia vizuri. Kama ni fursa ya kibiashara au elimu itumie vizuri mpaka uone mafanikio yake. Acha kucheza na fursa yoyote ya kimafanikio inayojitokeza mbele yako. Ikiwa utafanya hivyo elewa ni lazima ipo siku utakuja kujuta kwa uamuzi ulioufanya leo. Kuna watu ambao wameshindwa kufa...

Ukiona Haya, Fahamu Muda wa Kubadilisha Betri la Simu yako Umefika!

Image
Ingawa betri la simu limetengenezwa na uwezo wa kuchajiwa mara kwa mara ila inafika muda ambao lazima libadilishwe tuu. Hasa inategemea utumiaji na utunzaji wa betri husika ila mara nyingi betri linaweza kuwa zima kabisa kati ya miezi 6 hadi miaka miwili ya kutumiwa. Haya ndiyo ya kuangalia ili kutambua muda wa kubadilisha betri lako. 1.Muda wa betri kukaa na chaji umepungua na ata zaidi ya nusu ya mwanzo Itakapofika muda ambao kiwango cha kupoteza chaji kimepungua kufikia hadi nusu au chini zaidi ukilinganisha na mwanzoni ulipoinunua kwa mara ya kwanza basi ujue haifai tena. Muda mwingine utakuta simu inaonesha inakiwango cha asilimia nyingi tuu ya chaji alafu ghafla unashtukia imezima, ukiwasha inasema ‘battery low’, badilisha tuu betri. Betri lisilofanya kazi kwa ufanisi linaathiri ata vitu vingine kwenye simu yako. 2. Simu inapata joto sana Je unasikia simu inakuwa yamoto sana hasa hasa joto hilo likitokea eneo la betri? Epuka hatari, badili betri mara moja. Pia mara nyingi ikitoke...

Ukiyafanya Haya Mafanikio Makubwa Yapo Upande Wako

Image
Kwa muda mrefu umekuwa ukijiuliza ni vipi utapata mafanikio unayoyahitaji?  Lakini jibu ni kwamba mafanikio unayo wewe mwenyewe ila tatizo ni kwamba unakuwa ni mtu wa kusuasua kuanza mambo hayo ya kusaka mafanikio. Ngoja nikukumbushe ya kwamba hakuna muda maalumu wa kuyasaka mafanikio. Utawasikia watu wengine wanasema eti nikiwa ukifika miaka 35 au 40 eti ndo utaanza kuyasaka mafanikio kwa kuwa na nyumba, magari na mengineyo. Hii sio kweli  kumbuka ya kwamba muda wa mafanikio ni sasa na wewe ndio mwamuzi wa kuamua  kuanza kuchangamkia fursa zilizopo ili uweze kuwa miongoni  mwa matajiri ambao utakuwa unatajwa midomoni  mwa watu,  naamini  ya kuwa unaweza. Wapo baadhi ya matajiri wakubwa tunaowajua.  Leo ukijaribu kusoma historia zao wengi wameanza kuwa na mitaji midogo kabisa  lakini leo hii ndio ambao wapo midomoni mwetu. Kwa sisi ambao bado hatujapata mafanikio kwa muda mwingi tunakaa vijiweni tunawajadili , kuwasifia na kuwapa sifa nyingi ...

WATU Wengi Hawamuelewi NYOKA Ndio Maana Wanapanic ,Chukua Tahadhari Hizi Pindi Uking'atwa

Image
Wengi wakimuona nyoka wanaanza kukimbia ,kupiga makelele.Nani kakuambia kuna nyoka ambaye akimuona mtu anaanza kumkimbiza. Nyoka sio simba au chui ambao tabia zao wakimuona mtu ambaye ni kitoweo kwao wanaanza kumkimbiza kwa nia ya kumla.Kwa nyoka la hasha hakuna nyoka wa aina hiyo awe venomous au non venoumous.Nyoka huwakimbiza rodents tu kama panya sababu ni kitoweo chao. Watu hawamtizami nyoka kama kiumbe wa porini Bali humtizama kama vile kitu kibaya hilo ndio tatizo. Nyoka pekee ni kiumbe namba moja ambaye watu humuelewa sivyo ndivyo Africa,hivyo ni mnyama anayeongoza kuuliwa kikatili Nyoka hupata attention mbaya sababu ya stori ambazo watu husikia pale mtu anapong'atwa Kung'atwa kwingi panatokea pale mtu anapojaribu kumzuru nyoka na kiumbe huyo anajaribu kujitetea Majira ya kiangazi nyoka hujificha sana chini ya mawe,miamba majani au kwenye miti kukaa mbali na joto la jua Mida ya jioni hujitokeza kwa wingi na usiku wakati hali ya joto ipo chini hushamili kwa wingi Nyoka wa...

Mfahamu “ENYA” Mwanamziki Anayemwabudu na Kumtukuza SHETANI Kupitia Nyimbo zake

Image
Tumeshazoea kuwaona wanamuziki mbali mbali wa Gospel wakimwimbia na kumtukuza Mungu, ila kwa mwanamama kutoka ireland , Enya Patricia Brennan aliyezaliwa mnamo 17 May 1961 , kwake ni tofauti, baada ya kuamua kutumia kipaji chake cha kutisha katika kumwabudu na kumwimbia shetani. Mwanamuziki huyo ambaye amejizoelewa umaarufu mkubwa duniani, haswa pia baada ya nyimbo zake kupendwa kutumika kama “Soundtrack “ kwenye filamu za kutisha/ horror films( Sakobi-Nigeria , na nyingine nyingi kutoka hollywood.) Baadhi ya nyimbo zake zilizompa umaarufu na utajiri mkubwa ni: 1. Orinoco flow 2. Only Time 3. Wild child 4.Caribbean blue 5 . May it be 6. Echoes in rain na nyingine nyingi. Hata hivyo nyimbo zake nyingi amekua akiimba kwa lugha isiyoeleweka hili kuficha “CODE” au maana Halisi ya nyimbo zake, ambazo nyingi anakua akimsifia shetani kwa matendo yake makuu na kwa ukuu wake. Moja ya wimbo wa Enya ambao unasemekana akimsifu shetani ni huu: “MAY IT BE” May it be an evening star Shines down upon ...

Siku ya Kwanza Kunywa Kiroba Ndio Siku Safari ya Mapenzi Hadi Ndoa ilianza..Soma Kisa Kizima Hapa

Image
Safari yangu ya ndoa ilianza kwa namna yake! nikiwa mitaa fulani ya kijitonyama' baada ya kuhitimu na kuamua kuacha kazi ili nijikite kwenye ujasiriamali nilikutana na ukata ambao sikuwahi kufikilia kama ungewahi nitokea' hata hivyo mtembea bure si sawa na mkaa bure' maana mkate ulikuwa unapatikana!! Nilikuwa na kibanda cha huduma fulani pembezoni mwa barabara' hivyo watu wakishuka mitaa ya sayansi walikuwa wanapita usoni mwa banda langu lakutafutia liziki kwenye ile barabara yakuelekea Kwa Ally Maua(watu wa k'nyama wananielewa vizuri hapa) Kumbe kati ya wale wapita njia ambao huwa nawaona asubuhi na jioni wakiwa wanaenda na kutoka maofisini moja wao ni ubavu wangu lakini kwa hali yakawaida ilikuwa fumbo zito kwangu. Mara mojamoja ilinipa wakati mgumu hasa pale nilipokuwa naona wapendanao wakiwa wanasindikizana na wamependezana'' kilichokuwa kinaniumiza ni maswali mengi niliyokuwa nayo kichwani yasiyokuwa na majibu' lini mambo yangu yatanyoka? Lini takuw...

Uwezi Amini..Mfahamu Msichana MDOGO zaidi Kuwahi Kujifungua Mtoto

Image
LINA MEDINA aliyezaliwa Peru mwaka 1933 ndiye msichana mdogo zaidi kuwahi kuripotiwa kujifungua mtoto.Alijifungua akiwa na miaka 5,miezi 7 na siku 21.Alizaliwa akiwa na tatizo linalojulikana kama precocious puberty ambalo humfanya mwanamke apevuke mapema. Tofauti na wanawake wengine,alianza kupata hedhi akiwa na miaka 4 tu.Nyonyo/matiti yake na nyonga vyote vilikuwa vimekomaa alipokuwa na miaka 4 tu. Baada ya kulalamika kwa muda mrefu kuhusu maumivu ya nyonga na tumbo,wazazi wake waliamua kumpeleka hospitalini kupimwa.Hakuna aliyeamini baada ya kuambiwa binti huyu alikuwa na ujauzito wa miezi 7.May 14,1939 binti huyu alijifungua mtoto wa kiume kwa upasuaji kutokana na udogo wa nyonga zake aliyekuwa na afya bora kabisa,akiwa na kilo 2.7 ambaye walimpa jina la Gerardo kwa heshima ya jina la daktari liyemfanyia upasuaji huo. Kama walivyo watoto wengine,Gerardo aliishi akijua Lina ni dada yake na siyo mama yake kutokana na udogo wake.Alipofikia miaka 10 ndipo alipokuja kugundua kuwa hakuwa...