ILIPOISHIA SEHEMU YA KWANZA:maana ya limgusa kifuani Jayden na kumfanya asisimkwe mwili utazani anajichezea sikio kwa nyoya la kuku, “karibu mwanangu, umependeza sana” aliongea tena shangazi kwa sauti ya kunog’ona, akiwa bado amemkumbatia Jayden, huku pumzi za shangazi bado zikisikika kwa ukaribu masikioni kwa Jayden, na kuamsha vitu ambavyo Jay alivishangaa, alishindwa aitikie vipi, au ajibu kitu gani akabaki ameduwaa, huku shangazi akijitoa kwenyekifua cha mtoto wa kaka yake...endelea... Waliingiza mizigo kwenye gari, yakiwemo mazaga toka Songea kwa baba yke Edgar yaani kaka yake Dr Stellah, kama viazi vitamu, matunda, mkungu wandizi mananasi na machungwa, pia viazi mvilingo, navingine vingi, ni kawaida kwa Jayden kila anapotoka songea ufungashiwa mizigo na wazazi wake, kwaajili ya kumpelea shanagzi yake, ambae alisha kata mguu kwenda songea toka alipomchukuwa Jayden, shangazi Stellah na Jayden walipakiza mizigo yote kwenye gari, pamoja namabegi yake ya n...
Comments
Post a Comment