FAIDA AMA UZURI WA KUOA SINGLE MOTHER'S NA WADADA OVER 35+



Ndoa nyingi zina changamoto lakini nimegundua ukioa single mothers au dada ambae ni 35+ hawa watu mara nyingi huwa ni wife materials,,ukilinganisha na hawa wenye age ya 20-35,,,hawa watu wana commitment sana katika ndoa zao,,wanakuwa wameshapitia changamoto nyingi zinazohusiana na mahusiano so huwa sio wasumbufu,,wengi wamekomaa kiakili na wanajua jinsi ya kuhandle mume NA familia kiujumla,,wana mazuri mengi kiukweli,,kama hujaona ukipata mwanamke wa hivi usipoteze fursa.



Comments

Popular posts from this blog

SMS 47 ZA MAPENZI ZITAKAZO MNYEGEZA** MPENZI WAKO

KWANINI WADADA WENGI WAREMBO NA WANAOJIONA WAREMBO HUCHELEWA KUOLEWA,HUKOSEA KUOLEWA AU KUTOOLEWA KABISA?SOMA HAPA

HATUA ZA KUCHEZEA KIHARAGE NA KISIMI