HUYU HAPA MWAARABU WA JACLIN MENGI



Jamani Jamani wanazengo Leo wambea tutakufa kwa pressure maana sio kwa double breaking news za Leo , yani wakati sakata la gwajima bado likiwa bichi, Jipya laibuka kuhusu mke wa marehemu mengi akiwa kwenye picha ya pamoja na mwanaume aliyetajwa kutoka nae kimapenzi anayejulikana kwa Jina la Hussein mmliki wa element bar na balozi.
Ila wanazengo Leo nimemuangalia jacky kwenye msiba alivyo mkavu na tinted juu sijui alikua anaficha nini usoni, yan ukiangalia kwa makini utasema Madam ritha Ndo alikua mfiwa Na sio jacky, na ndio maaan hata watu walikua hawana time naye kabisa kumpa pole, yan Yale maneno ya mange yanaanza kuniingia kichwani, jacky she is a Jezebel .
Mi nilivyoona mange kataja mpaka Jina la mwanaume mpaka picha ikapostiwa pale pale mbea mie nikawa alerted there is something danger.


Unajua kwa stage aliyofikia mengi hakupaswa Kuwa na stress kabisa , huenda aligundua kitu kutoka kwa jacky, na kama mnavyojua babu yetu alikufa na kuoza kwa jacky, alikua aambiliki, Ila sema Ndo hivyo mapenzi upofu.
Na nimemuona regina alivyonuna wakati kabeba shada ya maua mmh yani jacky ajiandae tu kuvuliwa nguo , na kama tu ikijulikana alikua anacheat, itakula kwake hataambulia hata Mia na wamachame watamfanyia kitu mbaya atajuta maisha yake yot




Comments

Popular posts from this blog

SMS 47 ZA MAPENZI ZITAKAZO MNYEGEZA** MPENZI WAKO

KWANINI WADADA WENGI WAREMBO NA WANAOJIONA WAREMBO HUCHELEWA KUOLEWA,HUKOSEA KUOLEWA AU KUTOOLEWA KABISA?SOMA HAPA

HATUA ZA KUCHEZEA KIHARAGE NA KISIMI