JIFUNZE KUBADILIKA BAADA YA KUACHWA



Ukilia ukiwa umeachwa haisaidii kitu,,kikubwa ni kujiuliza,je umeachwa kwasababu gani,,hili ndilo swali ambalo unapaswa ujiulize ili kurekebisha ulipokosea ili ajae asije anakuacha kama huyo wa mwanzo,,,nikwambie kitu my sister/brother usipoondoa kisiki ulichojikwaa kisa tu una maumivu,,,tegemea ipo siku kitakukwaa tena na kupata maumivu,,,unapoachwa jisafishe makosa yako na kuwa Mwanaume/mwanamke mpya hata utakapojaljwa kupata mwingine akukute wa tofauti kabisa.



Comments

Popular posts from this blog

SIMULIZI……..SHANGAZI NAE ANATAKA – 10

SHANGAZI NAE ANATAKA-02

SMS 47 ZA MAPENZI ZITAKAZO MNYEGEZA** MPENZI WAKO