KILA BINADAMU AMEJAALIWA MAPENZI KATIKA MOYO WAKE ILA........
Kila binadamu amejaliwa mapenzi katika moyo wake,,,,ila watu wachache sana wamebahatika kuonyesha mapenzi yao kwa watu sahihi,,,,wengi wetu hutupa mapenzi yetu pasipostahili ndo sababu tunaumia,,,,,,trust me asilimia kubwa ya watu waliowahi kuwa kwenye mahusiano walikosea walipopeleka mapenzi yao.
Comments
Post a Comment