UNA HAKI NA NAFASI YA KUPENDA AU KUPENDWA





Usikate tamaa,usaliti uliofanyiwa usikufanye ukayachukia mapenzi,kikubwa ni kujua sifa NA vigezo vya mtu mwenye upendo wa dhati na atakayeheshimu hisia zako,,,ni haki yako NA unaweza kufurahia mapenzi tena,,,hebu tulia na ujitathimini kisha ruhusu akili ishirikiane na hisia ili vifanye maamuzi ya kumpata mtu sahihi na wakati sahihi atayeleta furaha na kukusahaulisha machungu yote.



Comments

Popular posts from this blog

SIMULIZI……..SHANGAZI NAE ANATAKA – 10

SHANGAZI NAE ANATAKA-02

SMS 47 ZA MAPENZI ZITAKAZO MNYEGEZA** MPENZI WAKO