MAMBO YATAKAYOSADIA KUIMARISHA MAHABA KWA MPENZI WAKO

Mapenzi huwa yanajegwa kwa hisia,,hisia hizi huwa ziko kati ya wawil wapendanao ambapo mwaweza kuwa Mume na Mke au hata Wapenzi wa kawaida….,Siku ya leo nataka tuyajadili mambo muhimu ambayo husaidia kudumisha husia hizo za mapenzi na kuwafanya wapendanao kuonana kaa Wapya kwenye mapenzi kila kukicha………………….Haya hapa ni baadhi ya mambo matamu ya kuongeza mahaba kwenye Ndoa/Mahusiano.

>Usaidizi wa Kazi nyumbani

Jambo hili huwa na thamani zaidi kwa Wanawake wanapofanyiwa usaidizi kwenye baadhi ya shughuli za nyumban kaa vile kuosha vyombo,usaf wa nyumban n.k,,,ufanyaji wa shughuli kama hizi huongeza mwamko wa mwanamke na kufanya ajione kuwa yeye ni mtu wa thamani ndani ya nyumba.

>Kujitoa

Mwanaume unapokuwa umedhamilia kuingia kwenye mapenzi watakiwa kujitahidi kujituma kutimiza mambo ya mwenza wako hata kwa kiasi kidgo ili kumfanya na yeye ajione kuwa ni mtu wa thamani kwenye penzi lenu.

>Ucheshi

Mapenzi sio kuniniana kaa mwalifu na afande magereza bali mapenzi huhitaji matabasamu na vicheko vya mara kwa mara na utani wa mambo kibao ya maisha,,,,hali humfanya mwanamke ajenge hali ya kujiamin na kuw free/huru hata wakati wa kuchangia maada za kifamilia.

>Uaminifu

Hii ndoo silaha ya A.K.A 47 kwenye mapenzi kwani huondoa hofu kwa kila mmoja wa wapenzi na kuyafanya mapenzi haya kudumu na kuwa imara zaidi kila kukicha,,,issue ya msingi kwa hapa ni kila mmoja wa kumtunzia mwenzie haki take ya kimapenzi na kuacha kukodoa macho nje.

>Uwezo wa mikono

Hii hutengeneza …Cv… zaidi kwa Mwanamke pale mwanaume unapokuwa tayari kuyarekebisha matatizo mbali ya kiufundi yahusuyo familia,,,Hapa utasikia Mwanamke akiwa na mashosti zake akisema mume wangu ni fundi wa kila kitu sio kitandani tuu yaan hata matatizo ya umeme ndani pia hata gari yangu ikipata shida huw sihangaiki..nampenda sana.

>Maneno

Kaa vile usemi huu “Maneno Mazuri humtoa nyoka pangoni”,,,,Hata hawa wanawake hupenda sana kusifiwa….koo mwanaume jitahidi kumpamba mwanamke wako kila kukicha kumfanya kila siku awe anijisikia mpya na kujihic yuko kama lulu kwako.

Comments

Popular posts from this blog

SMS 47 ZA MAPENZI ZITAKAZO MNYEGEZA** MPENZI WAKO

KWANINI WADADA WENGI WAREMBO NA WANAOJIONA WAREMBO HUCHELEWA KUOLEWA,HUKOSEA KUOLEWA AU KUTOOLEWA KABISA?SOMA HAPA

HATUA ZA KUCHEZEA KIHARAGE NA KISIMI