MBINU ZITAKAZOKUSAIDIA KURUDISHA MAPENZI KWA EX-WAKO

Kuvunja mapenzi au mahusiano siku hizi limekuwa ni jambo la kawaida sana….Uvanjaji wa mapenzi kwenye Jamii yetu umekuwa ukichangiwa na uwepo wa vitendo mbalimbali ya kama vile Michepo a.k.a nyumba ndogo,,,ila kwa leo tukiwa tunakutana kwenye ulimwengu maridhawa wa mahaba nataka kuzungumzia juu ya issue ya kurudiana na EX wako ambaye yawezekana ulivunja mapenzi naye kutokana na tamaa tuu mbali mbali za kidunia kaa vile tako la Amina lilikuvutia sana hadi ukamuona yeye ni boya na hafai tena kisa ni mic/mwembamba na baada ya kuchukua uamuzi wa kutengana naye ukaja shituka kuwa ulifanya makosa…,

Basi twende sambamba haya ni baadhi ya mambo muhimu yatakayokusaidia kulirudisha Penzi ulilolibwaga sababu ya tamaa za kidunia

1.Yatambue makosa yako

Baada ya kuelewa ni wapi ulikosea badi usisite kuwa muwazi kuzieleza kasoro zako kwa ex wako na unapokuwa unaueleza ukweli huo watakiwa jitahid kupunguza masihara na kuwa na nia ya kweli kuhakisha ex wako hata akiungalia uso au hata mwili wako uonekane kweli ni wenye nia ya kulirudia penzi lake

2.Omba msamaha

Hapa sasa watakiwa jishusha sana tuu unapokuwa unaongea na ex ili kumuongezea imani ya kumfanya aamin kuwa huna nia ya kumuumiza tena na huu msamaha unaomba watakiwa kuwa uhalisia toka moyoni na kukubabaliana kuacha yale yote mabaya,,,na kuuvaa utu mpya wa kufungua ukarasa mwingine wa mapenzi matamu na MPENZI wako wa zamani.

3.Mpe muda

Baada ya kuzieleza kasoro zako zote watakiwa mwachia ex wako mda wa kukaa azitafakali kauli zako za msamaha muda huu waweza chukua cku kadhaa hadi hata wiki nzima,,,pia ukiwa unaendelea kulisubiri jibu lake kwako watakiwa jitahidi kujiweka karibu yake kwa kuwa na Mawasiliano yahusuyo story mbalimbali za maishi ili kumfanya ajenge imana haraka juu yako.

Comments

Popular posts from this blog

SMS 47 ZA MAPENZI ZITAKAZO MNYEGEZA** MPENZI WAKO

KWANINI WADADA WENGI WAREMBO NA WANAOJIONA WAREMBO HUCHELEWA KUOLEWA,HUKOSEA KUOLEWA AU KUTOOLEWA KABISA?SOMA HAPA

HATUA ZA KUCHEZEA KIHARAGE NA KISIMI