Posts

Showing posts from October, 2019

You Proud yourself your in Marrige while you don't Partcipate Marriage act with your husband??

Image
MARRIAGE action plays a significant percentage in completing the Word Marriage, and marriage does not end in the wearing of two rings, and only the wedding,, the marriage is completed by the MARRIAGE act that many women nowadays have been abusing their husbands, and giving them calculations, when they are happy they are the one who gives it to her, or if she has a problem flan bas she gives it to her husband,, but when the husband needs her, he is not a teaser, he is driven by emotion, because is this a PROJECT ???    I am very surprised the women you give your husbands love for, they say to christian we have been told WOMAN HAS A LOT OF BODY BUT NOT ONE, AND A HUSBAND AGAINST HIS BIRTHDAY BEFORE YOU AGE. Now, my brother, what is your plan for your husband ?,, you refuse to think where he is going to end his body, when you are his and you are there for him / her  You leave your husband craving craving so you are out, every woman who curls up before you your husband craves you, the

Sms Za Mahaba Mazito

Image
Ni kitu muhimu sana katika maisha ya uhusiano kwani zinatia chachu na kumfanya mwenza wako ajihisi ni wa pekee katika kichwa chako,kwamba unampenda,unamkumbuka na unamjari sana.  hizi zifuatazo ni sms mbalimbali ambazo unaweza kumtumia mwenza wako asubuhi,mchana au usiku na hata kama umemkosea zipo sms ambazo zinaweza kukuwakilisha wewe kwa mpenzi wako  namshukuru ALLAH kwa kuamka salama ,ni jambo la kumshukuru nawe kwa kuona siku nyingine,sauti za tawala masikioni mwangu,na  ni furaha yangu kusikia u hali gani ......................... ni usiku tulivu wenye hali ya hewa saafi na usingizi wa amani ukishika hatamu kuzisafirisha fikra za binadamu katika  ndoto! najua umechoka na pilikapilika za mchana ,jua na makelele na kila aina ya mwingiliano wa sauti ,ni wasaa mzuri sasa  wakupumzisha mwili na akili yako.amua kumsamehe aliyekuudhi mchana wa leo na pia kumbuka ulipokosea leo ili kesho  usirudie,lakini pia jipongeze kwa mafanikio ya mipango yako,fumba macho uikaribie nchi us

Do You Feel Your partner have lost Interest on You!! Do this to regain his feeling to you

Image
SELF is an important factor for those in a romantic relationship. It is an emotional guide for lovers. In other words if one loses the excitement of the other, it is a very serious risk that can cost the relationship. before marriage. I talk to more partners. It may have been a misunderstanding between you, and you left. When you are out of your relationship, you realize that the source of all the problems is you. It depends on what you have done to her. Maybe you have insulted him too much, ruined his furniture etc, but at the end of the day you realize that you are the source of those separation problems. If you really have a passion, you can meet and discuss together, Then, finally, before you find yourself, you have decided to get back together. The one responsible for prescribing the medication is yourself! Your harsh words, your bad habits, all the sights and losses you have caused, can be the cause of his heart injury. Injuries can also be caused by how unresponsive you are to

Namna Unavyoweza Kupenda tena Baada ya kuachwa

Image
Katika suala la uhusiano wa kimapenzi, hakuna kanuni maalumu ambayo itakupa jibu la moja kwa moja kwamba, uhusiano uliokuwapo utadumu milele au la. Bali unapokuwa kwenye uhusiano huo njia pekee ya kukupa matumaini ama imani ni kwa njia ya kumuomba Mungu.  Kwa mantiki hiyo, ikitokea mpenzi uliyenaye akakuacha wakati ukiwa bado unampenda kwa dhati, swali la kujiuliza ni je, huyo uliyenaye ndiye mpenzi Mungu aliyekupatia? Kutokana na swali hilo itakufanya upate imani ya kutokata tamaa, kwa sababu ya ukweli kwamba, Mungu ndiye mwenye kujua aina ya mpenzi ambaye atakufaa katika maisha yako.  Kwa jinsi hiyo, kama ulishawahi kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi ambao ulitamani udumu milele, ikatokea umevunjika kutokana na mambo kutokwenda sawa, pengine mwenzi wako alikuwa anakunyanyasa, anakudanganya kwa kutoka na michepuko. Au anakupiga, siri zako anazitoa nje na kukuongelea vibaya kwa watu wengine na mwishoe akaamua kukuacha, usikate tamaa bali endelea kumuomba Mungu.  Ni katika juhudi za

Zijue Sababu Za Mimba Kuharibika

Image
Mimba yenye wiki 28 au chini ya hapo huharibika au kutoka, hali hii kitaalamu inajulikana kama ‘miscarriage’ na kwa kawaida mtoto aliye tumboni katika umri huu hataweza kuishi nje ya tumbo la mama. Zaidi ya asilimia 80 ya mimba huharibika katika miezi mitatu ya kwanza ya ujauzito na baada ya miezi hiyo kupita, uwezekano wa mimba kuharibika hupungua. Miaka ya hivi karibuni baadhi ya wanawake wamekuwa wakipata changamoto ya kuharibika kwa mimba mara kwa mara, hali inayosababisha baadhi yao kukosa matumaini ya kupata watoto. Wataalamu wa afya wameweka wazi sababu zinazochangia mimba kuharibika, huku wakitaja matumizi ya pombe, sigara na hewa chafu kuwa miongoni mwa vyanzo. Daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Colman Living anasema sababu zipo nyingi kulingana na umri wa mimba husika. Anasema mimba imegawanyika katika vipindi vitatu, miezi mitatu ya mwanzo ambayo mtoto hujishikiza, miezi mitatu ya katikati na ile mitatu ya mwishoni kukamili

EASY WAYS TO REDUCE RISK IN LOVE

Image
Conflicts and differences between two people in relationships are inevitable whether it's romantic relationships, parent-child relationships and even the workplace. The reasons for the differences in relationships are clear; that these people have come from and grew up in different contexts and so their characteristics and characteristics must vary. In this situation conflicts and misunderstandings are sometimes the things that occur and require special tactics and strategies to deal with this problem. 1. Being the first to act When a breakup occurs between the two people the communication is usually broken or difficult and bad. Each one may be offended by the other. For lovers this situation can be even more painful as it involves emotions to a large extent; it is your responsibility to teach silence and to be able to bring about reconciliation. Find a place and ask to discuss and talk about your differences. 2. Start by looking at your mistake first It is co

Mambo Matamu Unayopaswa kumfanyia mumeo ili uzidi kumfurahisha

Image
1. Anaporudi kutoka kazini, safarini au kwenye shughuli yoyote iliyowatengenisha, anza kwa salamu nzuri.  2. Unapompokea au kukutana naye basi fanya hivyo ukiwa na uso wa bashasha.  3. Vaa mavazi nadhifu. Jipambe na upake manukato kwa ajili yake.  4. Unapoanza kuzungumza naye anza na mambo au taarifa nzuri, na kama kuna taarifa mbaya subiri mpaka atakapopumzika.  5. Mpokee kwa maneno ya upendo na lugha ya kumpongeza au kumpa pole au lugha yoyote inayoonesha kumhurumia kwa kazi za kutwa nzima.  6. Ipendezeshe na uilainishe sauti yako kwa ajili ya mumeo, usifanye hivyo mbele ya wanaume wengine.  7. Utunze mwili wako na kujiweka katika hali ya umaridadi na muonekano mzuri.  8. Tumia manukato, rangi na mavazi yanayopendelewa na mumeo.  9. Jitahidi mara kwa mara kubadili mtindo wa nywele, manukato na kadhalika. Lakini usizidishe kiwango, na ufanye hivyo kwa mumeo tu.  10. Usichelewe kumpa mahaba pindi mumeo anapojiwa na hisia ya kutaka kufanya mapenzi.  11. Mwambie maneno matamu

HIZI NDIO MBINU ZA KUMUWEZA MWANAMKE ALIYE MGUMU KUTONGOZEKA

Image
wakati mwingine, vitu huweza kumaanisha zaidi ya tuwezavyo kutamka kwa vinywa vyetuMWANAMUME yeyote anapotaka kumtongoza mwanamke hulazimika kwanza kumwonesha – japo kwa matendo – kuwa anampenda, au kwamba amevutiwa naye, hata kama ni kimwili tu. Hatua hii ndiyo yenye changamoto kubwa zaidi kwa mwanamume, maana ndipo wakati anapokuwa anajaribu kufikisha ujumbe kwa mlengwa huku yeye mwenyewe akijihakikishia kuwa haharibu mambo.Mwanamume anapokuwa anajaribu kufikisha ujumbe wa “nakupenda” kwa mwanamke, mapigoya moyo yanaweza kumwenda mbio, hususan kama mwanamke mwenyewe anaonekana kuwa “maji marefu”. Hata hivyo, ni kazi ambayo kila mwanamume hulazimika kuifanya.Kazi hii ya kufikisha ujumbe kwa mara ya kwanzahuhitaji umakini. Bahati njema, shughuli yenyewe ina sayansi yake, ambayo ina misingi katika mahusiano ya kijamii. Ukifahamu sayansi hii inaweza kuwa rahisi zaidi kwako kufikisha ujumbe kwa mtarajiwa wako – na kufanikiwa. 1. KUKUTANISHA MACHO NI MUHIMUKawaida, mambo yote huanzia –