Rosa Ree na Awilo Longomba Katika NYIMBO Moja….Nini Kitatokea?



Inavyoonekana Kuna kitu kinaendelea kati ya Msanii Awilo Longomba na Rapper Rosa Ree Baada ya Leo Wote Wawili katika page zao kupost picha wakiwa Pamoja….Bado hajajulikana ni wapi wamekutana au nini wanatarajia kufanya….lakini tumemcheki Rosa Ree Leo Amesema tusubiri tusiwe na haraka yupo katika kuandaaa vitu vizuri kwa ajili ya mashabiki wake

Unadhani ni Nini kitatokea hapo kati ya Rosa Ree na Awilo Longomba kama wakiamua kufanya ngoja ya pamoja?

Comments

Popular posts from this blog

SIMULIZI……..SHANGAZI NAE ANATAKA – 10

SHANGAZI NAE ANATAKA-02

SMS 47 ZA MAPENZI ZITAKAZO MNYEGEZA** MPENZI WAKO