Hemedy “Nataka Kushughulikia vijana wa Taifa Hili”


Hemedy PHD ni mmoja wa wasanii ambao ameajaliwa kuwa na watoto wengi ambao kila mmoja ana mama yake, amefunguka kusema bado ataendelea  na tabia hiyo kwa sababu mbegu yake ni adimu na yupo vizuri kuwashughulikia vijana wa taifa hili.

Akiieleza EATV & EA Radio Digital, Hemedy PHD amesema yeye bado hajaoa na hategemi kuoa siku za hivi karibuni, na mbegu yake bado ni mbichi pia anatumia “mkongo” ili kufanya shughuli hiyo.

“Bado sijaoa mbegu yangu ni mbichi natumia mkongo kila siku, tegemea watoto wengi sana hii mbegu ni adimu, sijui nitakuwa nao wangapi kwa sababu watoto ni majaliwa ya Mungu ila nina mkongo wa kutosha kuwashughulikia vijana wa taifa hili” amesema Hemedy PHD.

Msanii huyo wa filamu na muziki ameendelea kusema  “Haimaanishi ukiona mwenzako ameoa na wewe ufanye hivyo, mwisho wa siku utakuja kuchukuliwa mkeo  utakuwa umeolea watu wengine, bora uchukue muda wa kuchagua mwanamke atakayekufaa na kukuelewa wewe” ameongeza

Comments

Popular posts from this blog

SMS 47 ZA MAPENZI ZITAKAZO MNYEGEZA** MPENZI WAKO

KWANINI WADADA WENGI WAREMBO NA WANAOJIONA WAREMBO HUCHELEWA KUOLEWA,HUKOSEA KUOLEWA AU KUTOOLEWA KABISA?SOMA HAPA

HATUA ZA KUCHEZEA KIHARAGE NA KISIMI