Unaambiwa Hamisa Mobetto Atamani Kuwa MKE wa Nne wa Dr Mwaka..


Hamisa Mobetto atamani kuwa mke wa nne wa Dkt Mwaka… Aonesha Hisia zake kwa kumpost Picha ya Dr Mwaka katika insta story yake, hii imekuja baada ya Dr Mwaka kuwa Gumzo wiki iliyopita baada ya kutambulisha wake zake wawili ambao wanapika chungu kimoja waswahili tunasema wanaiva mpaka kufikia kulala chumba kimoja na mme wao….

Katika Dini ya Uislamu mwanaume anaruhusiwa kuoa wake mpaka Wanne hivyo kama inampendeza Dr Mwaka anaweza futa jiko la nne

Comments

Popular posts from this blog

SIMULIZI……..SHANGAZI NAE ANATAKA – 10

SHANGAZI NAE ANATAKA-02

SMS 47 ZA MAPENZI ZITAKAZO MNYEGEZA** MPENZI WAKO