Donald Trump Awataka Mwana Mfalme Harry na Mkewe Kujilipia Gharama ya Ulinzi





Rais wa Marekan Donald Trump amewataka mwanamfalme Harry na mkewe kama wanataka kwenda marekani bali gharama ya ulinzi itakuwa juu yao na si Marekani. 

“Mimi ni rafiki wa Malkia, nampenda na naipenda Uingereza, iliripotiwa kuwa Mwanamfalme Harry na Mkewe Meghan ambao waliondoka kwenye Jumba la Kifalme wataishi Canada, sasa hivi wameondoka Canada eti wanakuja Marekani, waje lakini wajue Marekani haitolipa gharama za ulinzi, watajilipia wenyewe”- Rais Donald Trump wa Marekani

Comments

Popular posts from this blog

SMS 47 ZA MAPENZI ZITAKAZO MNYEGEZA** MPENZI WAKO

KWANINI WADADA WENGI WAREMBO NA WANAOJIONA WAREMBO HUCHELEWA KUOLEWA,HUKOSEA KUOLEWA AU KUTOOLEWA KABISA?SOMA HAPA

HATUA ZA KUCHEZEA KIHARAGE NA KISIMI