Mchungaji Afrika Ya Kusini Aomba Mil 230 Kwa Ajili ya Kwenda Kuzimu Kupambana na Pepo la Corona
Mchungaji Mboro kutoka Afrika Ya Kusini ameomba kupatiwa Tsh Milioni 230 kwaajili ya safari ya kwenda kuzimu kwaajili ya kupambana na pepo ambae amesababisha Corona Virus.
Mchungaji Mboro anasema haina haja ya kutumia gharama katika tafiti za kisayansi kwani sababu ya kile kinachotokea kwa sasa ni pepo mchafu ambae yupo kuzimu.
Mchungaji Mboro anasema haina haja ya kutumia gharama katika tafiti za kisayansi kwani sababu ya kile kinachotokea kwa sasa ni pepo mchafu ambae yupo kuzimu.
Comments
Post a Comment