Muuguzi Aliyepata Corona Ajiua Kwa HOFU Kuwa Angewaambukiza Wengine



Muuguzi wa Chumba cha Uangalizi Maalum (ICU) katika Hospitali ya San Gerardo, Daniela Trezzi (34) amejiua baada ya kupata maambukizi ya #COVID_19 na kuhofia kuwa atawaambukiza wengine 

Mbali na hofu ya kueneza Virusi hivyo, imeelezwa kuwa Daniela pia alikuwa na msongo wa mawazo uliosababishwa na kazi kubwa wanayofanya watumishi wa afya katika kudhibiti #CoronaVirus 

Kabla ya kifo chake aliwaambia wafanyakazi wenzake kuwa ana wasiwasi amemuambukiza mtu mwingine Virusi hivyo 

Uchunguzi zaidi wa kifo cha #DanielaTrezzi unaendelea

Comments

Popular posts from this blog

SMS 47 ZA MAPENZI ZITAKAZO MNYEGEZA** MPENZI WAKO

KWANINI WADADA WENGI WAREMBO NA WANAOJIONA WAREMBO HUCHELEWA KUOLEWA,HUKOSEA KUOLEWA AU KUTOOLEWA KABISA?SOMA HAPA

HATUA ZA KUCHEZEA KIHARAGE NA KISIMI