Sababu Zinazopelekea Wasichana wa Kileo Mpigwe Chini na Wanaume Kimapenzi


Kumekuwa na ulalamishi sana miaka ya karibuni kuwa wanaume sijui tupoje,tunawaacha bila sababu ila kumbe sababu zipo tu ila wengi hawajazijuaga tu.Nimeona nibainishe sababu zangu kadhaa ambazo ni hizi hapa:

1. Hufanyi chaguo sahihi 
Marazote unapenda mtu mwenye swaga,status ambaye kila msichana anamtaka bila kujali kuwa swaga si jambo la msingi katika mahusiano ila penzi la kweli na utu.80% ya wale mnaowadiss ndio wana mapenzi ya kweli na utu uliotukuka!Wenye swaga huwa hawana future wanasuuza rungu tu wakati wakiskilizia kali mara nyingi akitokea mkali zaidi ujue ushalia!

2. Kupenda ready made 
Jaribuni kuanza mapenzi na mtu sahihi tokea akiwa chini ili mfurahie mafanikio badae.Mara nyingi mwanaume ulieanza nae kwenye msoto hana jeuri ya kukuacha.Unakurupuka kwa mtu mwenye life lake tayari hujui kahaso vipi kuupata mchomoko unaleta shobo za kujitia unamjua sana.Utaumia maana ukizingua kidogo anapita hivi!

3. Kuendekeza uzungu mwingi 
Kina dada wengi siku hizi hampendi kuwa chini,hutaki kuishi uhalisia ila unaendekeza u-instagram na tamthilia nyingi kitu ambacho sio sahihi.Ni nani ambaye kila 24/7 kwake sikukuu na jua lilivyo kali hapa bongo.Kila siku shopping kweli? Niwape cheat,wanaume wengi wanalijua hilo so wana row with the tide.Mlume ndago hawezi kuwekeza kwenye bidhaa feki ndio maana mnaona tunaoa midemu mikauzu yenye full uhasilia na ina akili za maisha baada ya miaka miwili/mitatu ya huduma wanakuwa bomba ile mbaya watu wanabaki midomo wazi.Hivyo basi be real jameni…

4.Tamaa tamaa 
Hii inaweza isiwe kwa mademu wote ila wengi siku hizi mnamaindisha mapene,mizinga mingi bila kujali kipato cha ME ili yasapoti pointi namba 3 apo juu.Hii itakufanya uwe na mibwana mingi kitu ambacho sio rahisi mwanaume mwenye akili timamu na anayejua thamani ya penzi kukivumilia.Ukimwi upo na unaua jamani! Hamna mwanaume atayependa umchanganyie kimaisha na akigundua tu anatoka baru.

5. Personal traits 
Je una akili za maisha(mipango)? ni msafi,msikivu,mvumilivu,unajia mini,mwaminifu,mkweli,huna choyo,sio mswahili kwa sana,unapendeka n.k hivi ni baadhi vitu muhimu sana ambavyo inabidi mwanamke avibalansishe na mbele ya mwanaume sahihi atajitwalia upendo wa kweli.

6. Sex 
Inakubidi uwe fresh pia hapa ili uweze kuwa mtamu zaidi.Kuna wanaume ambao wamefanikiwa kutulizwa tuli baada ya kukutana na mashine nzuri sana ukijumlisha na yaliomo kwenye point 5 apo juu wakaamua kuoa kabisa.Wapo! Kwahiyo nafikiri pia umahiri wa kitandani una nafasi kubwa zaidi ya kumtuliza mwanaume sahihi! Ukiwa legelege utaachwa tu maana hamna namna nyingine.

NB: Huu ni mtazamo wangu naomba msijenge chuki

Naomba na wengine muongeze sababu nyingine ili wapate majibu kwa nini wanaachwa bila sababu!

Comments

Popular posts from this blog

SMS 47 ZA MAPENZI ZITAKAZO MNYEGEZA** MPENZI WAKO

KWANINI WADADA WENGI WAREMBO NA WANAOJIONA WAREMBO HUCHELEWA KUOLEWA,HUKOSEA KUOLEWA AU KUTOOLEWA KABISA?SOMA HAPA

HATUA ZA KUCHEZEA KIHARAGE NA KISIMI