BANGLADESH: Zaidi ya madaktari 250 waambukizwa Corona, Upungufu wa vifaa waelezwa kuchangia



Taifa la Bangladesh likiwa na maambukizi ya watu wenye Corona 4,186 na vifo 127 hadi sasa huku waliopona wakiwa 108.  Imeripotiwa kuwa takriban madaktari 251 nchini Bangladesh wamepata maambukizi ya #CoronaVirus. Taasisi ya Madaktari (BDF) imelalamikia ukosefu wa vifaa kinga (PPE) kuwa chanzo cha Madaktari kupata maambukizi kutoka kwa wagonjwa.



Kufuatia ongezeko la waathirika wa #COVID_19 nchini humo, Serikali imekuwa na changamoto ya kuwalinda watumishi wa afya ili wasipate maambukizi ya Virusi hivyo.

Bangladesh, kama ilivyo kwa mataifa mengi duniani inakabiliwa na uhaba mkubwa wa vifaa kinga kwa ajili ya watoa huduma za afya.

Comments

Popular posts from this blog

SMS 47 ZA MAPENZI ZITAKAZO MNYEGEZA** MPENZI WAKO

KWANINI WADADA WENGI WAREMBO NA WANAOJIONA WAREMBO HUCHELEWA KUOLEWA,HUKOSEA KUOLEWA AU KUTOOLEWA KABISA?SOMA HAPA

HATUA ZA KUCHEZEA KIHARAGE NA KISIMI