Chama Cha Wapangaji KENYA Chawataka Wapangaji Kutokulipa Kodi Kipindi Hichi cha Corona

Coronavirus: Chama cha wenye nyumba nchini Kenya kimewataka wapangaji nchini humo wasilipe kodi kwasasa hadi hapo itakapotangazwa tena ili kuwaondolea wapangaji mzigo ulio nje ya uwezo wao sababu ya uchumi kutikisika kwa biashara kufungwa -

Chama hicho kimewataka baadhi ya wenye nyumba kutothubutu kuwanyanyasa wapangaji wao kisa kodi, kutowakatia umeme wala maji ili kuonesha ubinadamu katika Kipindi hiki kigumu -

Ben Liyai katibu mkuu wa chama hicho amesema mwenye nyumba akiwa na tatizo au la kuongea basi awasiliane na chama sio kuwabughudhi wapangaji. Chama kimesema updates itatolewa kuhusu kuendelea kulipa kodi hapo Rais Uhuru Kenyatta atakapotangaza kuwa biashara ziendelee kama kawaida

Comments

Popular posts from this blog

SMS 47 ZA MAPENZI ZITAKAZO MNYEGEZA** MPENZI WAKO

KWANINI WADADA WENGI WAREMBO NA WANAOJIONA WAREMBO HUCHELEWA KUOLEWA,HUKOSEA KUOLEWA AU KUTOOLEWA KABISA?SOMA HAPA

HATUA ZA KUCHEZEA KIHARAGE NA KISIMI