Dodo ya Alikiba Yaweka Rekodi Hii Youtube




HABARI ikufi kie kuwa, Msanii wa Bongo Fleva, Alikiba, ameweka rekodi ya ngoma yake ya Dodo kukaa Youtube Trending kwa muda mrefu kuzidi ngoma yoyote iliyotoka mwaka huu.Hadi kufi kia jana Ijumaa, Alikiba alifi kisha siku ya tisa kukaa Youtube Trending kwa Tanzania tangu kutoka kwa ngoma hiyo Aprili 8, mwaka huu.

Ngoma kama Gere ya Tanasha na Diamond, Jeje ya Diamond nazo zilikaa kwa zaidi ya siku nne kwenye trending, lakini hazikuwa muda mrefu kuishinda Dodo ya Alikiba.

Wadau mbalimbali wa muziki wamesema hii ni rekodi kubwa zaidi kwa Alikiba kwa miaka ya hivi karibuni, kwani kazi zake nyingi alizotoa hazikuwahi kukaa kwenye trending kwa muda mrefu kama ilivyo kwa Dodo.

Mwenyewe alipoulizwa sababu ya ngoma hiyo kufanya vizuri zaidi alisema kuwa: “Mashairi mazuri, biti na melodi ni vitu ambavyo vinaibeba sana kazi hii, lakini pia kazi nzuri ambayo Mobeto ameifanya akiwa kama Video Vixen inashawishi watu kuitazama kwa wingi zaidi.

Stori na Issa Liponda | Championi

Comments

Popular posts from this blog

SMS 47 ZA MAPENZI ZITAKAZO MNYEGEZA** MPENZI WAKO

KWANINI WADADA WENGI WAREMBO NA WANAOJIONA WAREMBO HUCHELEWA KUOLEWA,HUKOSEA KUOLEWA AU KUTOOLEWA KABISA?SOMA HAPA

HATUA ZA KUCHEZEA KIHARAGE NA KISIMI