Maji Maji Ukeni Kama Mtindi Yananikera, je ni Uchafu? Nahisi Kumuacha


Mpenzi wangu ana majimaji meupe kama mtindi ulioganda na unatoka kwa mabonge bonge wakati tukiwa tunafanya yetu, Nimejaribu sana kumwambia ajisafishe vizuri sana lakini hayaishi, sasa nashindwa kuelewa  je ni uchafu wa kawaida kwa mwanamke ? Au ni Ugonjwa ? Naomba Ushauri kwa Anayejua Utatuzi wa Tatizo Hili

Comments

Popular posts from this blog

SIMULIZI……..SHANGAZI NAE ANATAKA – 10

SHANGAZI NAE ANATAKA-02

SMS 47 ZA MAPENZI ZITAKAZO MNYEGEZA** MPENZI WAKO