Mganga wa Kienyeji, Amekutwa Akiwa Amejinyonga na Kuacha Ujumbe wa Kuomba Msamaha Kwa Mizimu
Katika hali isiyo ya kawaida mkazi mmoja wa mkoani Njombe aliyetambulika kwa jina la Kaido Mfilinga (30) aliedaiwa kuwa ni mganga wa kienyeji, amekutwa akiwa amejinyonga na kuacha ujumbe wa maandishi wa kuomba msamaha kwa mizimu.
Inaelezwa kuwa mganga huyo amejinyonga baada ya kukiuka masharti ya mganga aliedaiwa kumpa kibuyu ambacho kinatajwa kuwa ndicho kimepelekea kifo chake.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe, Hamis Issah amesema baada ya polisi kuwasili eneo la tukio wameukuta mwili wa marehemu pamoja na ujumbe wa maandishi auliouacha kabla ya kuchukua hatua hiyo.

Comments
Post a Comment