Nawaza Mateso Waliopata Watu kwa Kutongozana Kabla Simu Hazijaja

Kipindi cha nyuma 1985-2000 simu zilikuwa nadra sana,

Lakin pamoja na uchache wa simu, watu walitia maneno mpaka wenza wao wakawaelewa,

Kwa wale wa juzi juzi mmerahisishiwa kazi sana,

Mtu kipindi hicho anakaa Tabata anamfuatilia msichana wa makumbusho bila hata simu, inabidi apande gari akashuke mwenge atembee mpaka bamaga kwakuwa anahisi msichana yule atapita maeneo yale kama siku alivyomuona akipita nyuma,

Na anamkosa, anaamua kurudi home, kesho yake anatia kambi tena lakin hafanikiwi, hii ilileta hamasa kwamba hata akimpata maneno ni hapo hapo,

Watu wameng'atwa sana na Mbu wakiwasubiri kina Mwajuma wapite njia fulani kisa wameona anapita asubuhi,

Watu wameshinda mtoni wakiwasubiri akina hilda ili wapate nafasi ya kutema yao

Watu wameteseka mno,

Siku hizi wanaume hata kutongoza imekuwa shida neno linalotangulia ni Naomba namba yake hiyo dada,

Hawana uwezo tena wa kumface mwana mke kumtemea cheche live,

Siku hizi wamerahisishiwa sana , mwanamke akikunyima namba ya simu unamuomba basi anayotumia tigo pesa haha anaachia mara moja

Comments

Popular posts from this blog

SMS 47 ZA MAPENZI ZITAKAZO MNYEGEZA** MPENZI WAKO

KWANINI WADADA WENGI WAREMBO NA WANAOJIONA WAREMBO HUCHELEWA KUOLEWA,HUKOSEA KUOLEWA AU KUTOOLEWA KABISA?SOMA HAPA

HATUA ZA KUCHEZEA KIHARAGE NA KISIMI